MWANAMUZIKI wa miondoko ya mduara ambaye pia ni msanii wa
filamu, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amefunguka kuwa kwa alichokiona,
amekoma kutumia mkorogo.
Akipiga stori na Ijumaa, Shilole alisema mwanzo alikuwa akitumia mkorogo aina ya ‘karolaiti’ lakini amegundua badala ya kumfanya awe mzuri zaidi, umemletea matatizo kwenye mwili wake.
Akipiga stori na Ijumaa, Shilole alisema mwanzo alikuwa akitumia mkorogo aina ya ‘karolaiti’ lakini amegundua badala ya kumfanya awe mzuri zaidi, umemletea matatizo kwenye mwili wake.
“Niseme tu kwamba nimekoma na ningejua nisingefanya
jaribio la kujichubua, nimeathrika sana na sijaona faida yoyote, zaidi
umeniharibia ngozi yangu,” alisema Shilole na kuongeza.
Post a Comment
Comment hapa