List ya Masuper star wa Kiume Bongo waliojibadilisha ngozi kwa kutumia
mkorogo ama madawa inazidi kunona baada ya Msanii Richi Mavoko
Kusemekana naye amejichumbua ngozi kwani muonekano wake wa kabla na sasa
ni tofauti sana kama inavyoonekana hapo kwenye picha....
Picha hiyo imewekwa instagram na mdau mmoja
Loading...
Post a Comment
Comment hapa