Loading...

Dent wa sekondari ananivunjia ndoa!!

Wajumbe mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 33 Ni Mwajiriwa wa Serikali, nimeoa na nina mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 3.
Licha ya kwamba niko kwenye ndoa, lakini ilitokea siku moja asubuhi nikiwa barabarani na gari langu nikitokea nyumbani kwangu Mitaa ya Kihonda Magorofani nikielekea kazini Morogoro mjini.Nilikutana na Mwanafunzi kavaa sare za shule na alikuwa akielekea shuleni nae.Nilisimamisha gari na kumuuliza kama anaenda shuleni maana baada ya kuona sare alizovaa niliweza kutambua ni shule gani anasoma.Baada ya kumuuliza kama anaenda shule aliitikia kwamba anaenda shuleni, nilitoa Lock ya Milango ya gari nikamwambia apande nimsogeze kidogo.

Cha kushangaza niliona akifungua mlango wa mbele na kuingia maana nilikuwa peke yangu.Niliondoa gari tayari kuendelea na safari,tukiwa njiani niliweza kumuuliza jina lake, wazazi wake kadharika tulipeana hadi namba za simu.
Baada ya siku mbili alinitumia msg iliyosomeka hivi."Shikamoo, Habari ya kazi?Nimeona sio vizuri kukaa kimya wakati juzi ulinisaidia nikawahi shuleni.Jioni Njema na karibu nyumbani." Bahati mbaya hiyo msg sikuweza kuijibu maana nilikuwa niko na wife na zaidi niliifuta baada ya kuisoma.Baadae nilitafuta nafasi nikampigia kumjulisha msg yake nimeipata akadai amefurahi sana kusikia sauti yangu.Na mimi kama mwanaume nikamuomba atafute muda japo siku moja tukutane tena tuongee.Alikubali na kuniahidi nimtafute siku za Ijumaa jioni, Juma mosi na jumapili maana hizo siku anakuwa free.

Ilipofika Ijumaa nilimtafuta tukaenda Hotel moja nje kidogo ya Mji tukaongea sana na ikafikia hata mimi nikamwambia namtaka, alionekana mpole na akakubali ombi hilo pia akaomba tukutane siku inayofuatia ambayo ni Juma Mosi.Tuliingia kwenye gari nikamuacha jirani na nyumbani kwao na mimi nikarudi kwangu

Jumamosi mida ya saa 8 alinibeep nikampigia then nikamwambia ajiandae ndani ya nusu saa nitampitia. Time ilipofika nilimpitia sehemu tuliokubaliana tukaelekea sehemu husika, huko huko ndio tulipeana mapenzi(Nilimgegeda effectively). Baada ya siku hiyo kugegeda ikawa Continuously na Tigo ndo ilinichanganya kabisa.

Ila shida imekuja sasa huyu binti anadai nimpeleke nyumbani kwangu ili nikamtambulishe kwa Mke wangu ili wafahamiane. Nimejaribu kumshauri kwamba yeye bado ni mwanafunzi hivo atulie kwanza amalize masomo yake lakini hanielewi

Anadai kila siku asubuhi niwe nampeleka shuleni na jioni kumrudisha kwa gari langu.Hilo nalo nikamshauri kwamba isiwe kila siku ila pale tukapoona inafaa bado haelewi.

Nimemkataza kunipigia simu au kutuma msg hasa mida ya usiku maana mke wangu atanielewa vibaya hilo nalo haelewi

Amechukua namba ya simu ya mke wangu kwenye simu yangu bila mimi kujua na kumpigia simu mke wangu nae akiwa kazini kwake akimtaarifu kuwa yeye ni mke mwenzie na baadae kurusha msg kibao akidai huo ni utambulisho tosha.Kwa ujumla siku hiyo hayo yote yalipotendeka mimi na mke wangu hatukulala kwa amani kabisa,Wife alilia karibu akataka kukesha.

Nilimfuata yule Binti nikamuonya vikali nusura kuchapa makofu na nikamwambia simuhitaji tena ila yeye kakomaa kwamba kama nataka kumpiga sababu ya mke wangu basi na nikimuacha anajiua na kuacha ujumbe.Ameenda mbali kuniambia kwamba nimemuharibia akili zake maana toka nifanye nae mapenzi hana hamu kabisa ya kusoma au kwenda shuleni.

Wakuu nifanye hapo, Kuna hatari mbili ambazo ni:
1. Ndoa kuvunjika (Wakati tayari tuna mtoto)
2. Kwenda Jera (ukizingatia huyu ni Mwanafunzi)

Naomba mchango wenu

Suma Lee aachana na Mziki rasmi!


Msanii aliyefanya vizuri na single ya ‘Hakunaga’, Suma Lee amesema hatofanya tena muziki kwa sababu ameachana kabisa na maisha hayo na kuamua kujikita katika mambo mengine.


Suma ambaye alitengeneza pesa nyingi kupitia hit yake ya ‘Hakunaga’, amesema hana mpango wa kuzitoa nyimbo zake zilizoko studio ambazo hazijatoka ambapo asilimia kubwa alishazilipia.


“Sifanyi tena muziki na nimeachana kabisa na maisha hayo, na nyimbo zote zilizobaki studio nimezisimamisha zisitoke baada ya kuzilipia ambapo kuna wimbo mmoja nimefanya na Cp ambao ndio ulikuwa wa kurudisha kundi la Parklane, pia nimeuzuia, labda Cp auchukue yeye,” alisema Suma Lee akizungumza na mnoko.


Ameongeza kuwa Kilichobaki ni kuwaombea wazazi wetu waliotutangulia, wengine walikuwa hawataki tufanye kazi hizi, kwa kuwa hawapo na hakuna wakutukataza tena, bora tukae na kuwaombea.

Ukweli Kuhusu Picha na Ndoa ya Diamond na Zari


 Wikiendi iliyopita, gumzo kubwa katika mitandao ya kijamii lilikuwa ni kuhusu stori ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kufunga ndoa na mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ lakini ukweli wake sasa umejulikana. 
Taarifa hizo ziliibuka katika mtandao wa Instagram mara baada ya Diamond kuweka picha iliyomuonesha akiwa na Zari ambaye alivaa shela huku Diamond akiwa na suti kuashiria kuwa wawili hao wamefunga ndoa kutokana na ujumbe uliosindikiza picha hiyo.

Diamond aliandika: “Wakati mwingine usiri una baraka zaidi...alhamdullah (sometimes privacy has more blessings...thank you so much God).”

Baada ya ujumbe huo ndipo mashabiki wao walipoanza kusambaziana ujumbe kuwa Diamond amemuoa Zari.

Baada ya kuenea kwa ubuyu huo, mnoko wetu alimvutia waya Diamond na kumtaka aeleze ukweli wa habari hiyo ambapo alifunguka.

Mnoko: Ebwana vipi hii ishu ya ndoa ni kweli umeoa?

Diamond: Suala la ndoa lipo tu kwani wewe hujui mtoto Zari ana familia yangu? Nikikamilisha mchakato naweka wazi kila kitu.


Mnoko: Kwa hiyo unataka kuwaambia Watanzania kwamba umeshamuoa Zari au bado?

Diamond: Taratibu za awali nyingi tumeshakamilisha lakini zaidi kuna kitu kikubwa natarajia kukifanya pale Mlimani City (Dar) na hiki kitathibitisha ukweli wa unachokiuliza.


Mnoko: Umesema nisubiri sawa, hiyo Mlimani City ni tarehe ngapi?

Diamond: Usijali ni Mei Mosi, mwaka huu.


Mnoko: Poa, kila la kheri tutajumuika pamoja siku hiyo.

Mara kadhaa Diamond amekuwa akionesha nia ya kumuoa Zari hivyo mashabiki wengi wanaamini kuwa safari hii yupo ‘siriaz’ zaidi.

Rich Mavoko Anajichubua?

List ya Masuper star wa Kiume Bongo waliojibadilisha ngozi kwa kutumia mkorogo ama madawa inazidi kunona baada ya Msanii Richi Mavoko Kusemekana naye amejichumbua ngozi kwani muonekano wake wa kabla na sasa ni tofauti sana kama inavyoonekana hapo kwenye picha.... Picha hiyo imewekwa instagram na mdau mmoja

Zari Azua Mtafaruku Msibani!

Mwandani wa staa mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Zarinah Hassan ‘Zari’ juzikati alizua kizaazaa kisa ujauzito alipohudhuria kwenye msiba wa aliyekuwa bosi wa Tip Top Connection, Abdul Taletale ‘Abdul Bonge’ aliyefariki dunia ghafla wikiendi iliyopita. 


Tukio hilo la Zari lilichukua nafasi katika Kijiji cha Mkuyuni, Tarafa ya Matombo mkoani hapa ambapo mastaa kibao walisafiri kutoka Dar kwa ajili ya mazishi ya kiongozi huyo.  
ILIKUWAJE?
Awali, katika tukio hilo lililoshuhudiwa na Ijumaa mapema Jumanne wiki hii, Zari na Diamond, wakiwa wameongozana na wapambe wao walifika eneo la msiba ambapo kwa taratibu za Kiislam, wanawake hawachanganyiki na wanaume hivyo Zari akachukuliwa kwenda upande mwingine huku Diamond akielekea upande wa wanaume.

HALI YA HEWA YABADILIKA
Mara baada ya mastaa hao kutinga eneo hilo, umati mkubwa uliokuwa msibani hapo ulianza kuwazingira huku kila mmoja akitaka kuwaona.

ZARI AIBUA KIZAAZAA
Akiwa upande wa wanawake wenzake, Zari alijikuta akizungukwa na baadhi ya watu walionekana wazi kumchunguza kuanzia miguuni hadi kichwani ikidaiwa kuwa, walikuwa wakicheki kama kweli ana mimba ya Diamond.

“Mwee, huyu ndiye Zari wa Diamond! Hivi mimba anayo kweli au ndiyo haya mambo ya mastaa wetu, mhh lakini kweli kitumbo kama kimetuna vile,” alisikika akisema mmoja wa wanawake hao.Uwepo wa mwanadada huyo uliwafanya wengi kusahau ishu ya msiba na kujikuta wakipigana vikumbo kumshangaa Zari ambaye muda mwingi alikuwa akijificha.

Kutokana na mazingira ya watu kukanyagana kutaka kumuona staa huyo, mrembo aliyefahamika kwa jina la Jestina George aligeuka kuwa bodigadi wake ili kumuepushia usumbufu ambapo alifanya kazi ya kumlinda.
 
PAPARAZI AZUIWA KUMPIGA PICHA
Paparazi wetu aliyekuwa eneo la msiba kwa lengo la kupata picha za kumbukumbu kwamba Zari aliwahi kufika eneo hilo, alikumbana na wakati mgumu baada ya Jestina kumpiga mkwara asijaribu kupiga picha.

“Weee, ukijaribu kupiga picha tunakorofishana, mwenyewe hataki kupiga picha, kama vipi nenda kamuombe ruhusa Diamond,” alisema Jestina huku akimficha Zari

Mtalaka wa Sugu atafuta mtu wa kungonoka naye!!!

Mtalaka wa Joseph Mbilinyi 'Sugu' anayejulikana kwa jina la Faiza Ally, kwa mshangao amesema anatamani sana kungonoka ila hana mtu wa kungonoka naye. Pata unoko zaid ...








Nay wa Mitego ana Laana!

Msanii wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ amesema kuwa migogoro yote inayomtokea aliyewahi kuwa mwandani wake, Emmanuel Elibariki ‘Nay’ ni kutokana na laana ya kumsambazia picha zake za utupu. 

Akipiga stori na mnoko wetu, Bozi alisema tatizo kubwa lililomkuta Nay kwa mpenzi wake Siwema kumfumania na njemba ni malipo ya kupuuza penzi lake na dhambi kubwa aliyomtendea ya kusambaza picha zake za utupu alizomtumia wakati walipokuwa kwenye uhusiano.  

“Nilimpenda mno Nay lakini fadhila ya penzi langu akaona anidhalilishe kwa kuanika picha zangu za utupu kwenye mitandao ya kijamii,  jambo linalonisononesha mpaka kesho, naamini yaliyomtokea ni laana yangu anayotembea nayo kwani bado sijamsamehe kwa kitendo kile cha ajabu alichonifanyia,” alisema Bozi.
 
Older Posts
© Copyright Mnoko - Bongo Celebrity Gossips na story zote za kitaa !! | Designed By Code Nirvana
Back To Top